[.:ENGLISH:.|.:ITALIAN.|.:FRENCH:.|.:SWAHILLI:.|.:HINDI:.    
 
 


 

News letter subscription
   
Name
Email
 

 

 

 

 

 

 

 

 

UTANGULIZI


Tunakukaribisha kwenye kurasa za Tovuti hii, na unapopekua, na ukaweze kutiwa nuru ya Uzima. Haijalishi ulikotokea, uzao upi, rangi, dini wala mwelekeo wako kitamaduni. Ningependa ujue kwamba sisi  sote  ni ndugu na waridhi pamoja wa Ufalme wa Nuru ya ajabu wa Mungu. Tukaweze kuuingilia sasa na moyo mkamilifu upendo wa Mungu usiokipimo, upitao kuelewa kokote kule.

Kilele cha hatima ya wakati umeja, na nuru iliyo ya kweli inang’aa, na kuleta kwa kuelewa kwetu na fahamu zetu kujielewa kwa kiungu, na dhibitisho la ukweli wa hali yetu ya kiungu iliyopotea kwa kizazi hiki namajira haya ya giza tuliyomo. Ukwelina ufahamu huu wakiungu utokojuu hulet uponyaji na uhuru wa kweli  kutokana na hali hafifu za ulimwengu tuliomo, na kukwezwa na kutukuka katika  hli ya uzim n nguvu zote zilizo ndni yake Mungu aliyeko na wa ukweli.

Maandishi na jumbe zote zilizoko kwenye tovuti hii na huru na hazilipishwi, na hupenwa bure kwa minajili ya kungaza nuru na kuimarishwa kwetu tunaporudi katika nuru tulikotoka sisi sote.


Ubarikiwe.
Trevor na Emiemineni Eghagha

 

Maandishi na jumbe zote zilizoko kwenye tovuti hii zimetafsiriwa naye Elder Fredrick  Mwaura Mukiri
Wa Huduma ya Life Gate, nchini Kenya.

s s